Nilipata kuandika kuwa ninapoandika katika
blogu yangu hii, ninajiandikia mwenyewe. Sijui na
sijali kama kuna atakayesoma ninachoandika.
Lengo langu la msingi ni kutimiza haja yangu ya
kuutua mzigo uliokuwepo mawazoni mwangu.
Ni wazi kuwa fikra yangu hii inahusiana na yale
ninayojifunza kutoka kwa Hemingway.
Siko tayari
kusukumwa na imani kwamba ninaiandikia jamii.
Ningependa kuzingatia kauli ya Hemingway
kwamba, "Writing, at its best, is a lonely
life."imeandikwa na Prof Mbele
MJUMBE BLOGU ikiwa katika hatua zake za awali baadhi ya Wadau Wame wahi uliza swali pia!!
Nani atakuwa ana itembelea MJUMBE BLOGU?
Jibu lilikuwa rahisi Mno:
Nani atatembelea MJUMBE BLOG mtandaoni Kila siku haikuwa Kipaombele chetu.Swali letu Lililo Tusukuma ni kuweza Kutunza Kumbukumbu za Picha mbali mbali ndani ya jamii,Habari,Taarifa na Matukio mtandaoni Kama TUSIPO HIFADHI SISI;Nani atakuja Atuhifadhie Uhalisia wa Maisha yetu kwa Ujumla?
Maisha yana Mengi,Tulijua hilo mapema Lakini yale Tunayo weza Kuyafanya kama MJUMBE BLOG basi Tufanye sisi....
Kazi ya Ubloga katika jamii isiyo elewa Umuhimu wa Mitandao ni Kuchagua maisha ya Ukaa Pweke Jangwani! Inahitaji Uwe radhi kwa kadhia zote za jangwa ulilo weka hema lako kwa muda.
Naam.
Haita jalisha Wangapi watatembelea leo! Bali mangapi Tutakua Tume yahifadhi Kwa ajili ya Vizazi vijavyo?
MaanabKesho ina Thamani inapo husianishwa na jana.
Jamii inayo kuzunguka kuto kuwa mwamko wa kutembelea MJUMBE BLOG ni jambo moja lakini Sisi kutoweka Kumbukumbu za picha na Matukio Muhimu au Matangazo tutafanya angali twaujua Wajibu wetu.
UNAPATA FAIDA GANI Kuwa Bloga?
Swali Sahihi ni Nitapoteza nini nitakapo Tunza kumbu kumbu za jamii yangu ya leo Mtandaoni?
Jibu:HAKUNA NINACHO POTEZA;BALI KUNA UJUZI NITAONGEZA kila siku.
Maana INFORMATION is Power.
Na ELASTO MBELLA NGAYA
MJUMBE MTAZAMAJI
Karibuni Mtutembelee MJUMBE BLOG Mtandaoni.
Karibuni Mtutembelee MJUMBE BLOG Mtandaoni.
KWA MAONI PIGA:0752025002
Kwa Picha za Matukio au Tangazo
Watsapp:0719106096
Post a Comment