Hapa ni Bonde la Olduvai Waweza kupaita Bonde la "Oldupai" pia.Ni Bonde lililo katikati ya Serengeti na Ngorongoro.
...Ni Zawadi kutoka kwa Mhifadhi wa MAKUMBUSHO YA TAIFA YA ELIMU VIUMBE!
Akiwa Eneo la Tukio ame sema:
'.... wakati nazunguka zangu ground kupunguza ktambi nikakutana na hawa viumbe nikaona nikushirikishe...'
MJUMBE BLOG tuna toa shukrani zetu za Dhati ya Moyo.
Hakika Ume tuonesha kuwa ndani ya Bonde la Olduvai kuna vivutio vingi zaidi ya Historia ya Chimbuko la mwanadamu.
Kuna Utani kuwa Wa Tanzania wengi Pamoja na kuwa na Utajiri wa Vivutio ndani ya nchi yetu lakini ni wateja wazuri wa Midoli na Vinyago vya wanyama au picha mnato tu...
Lakini hatujawahi panga ratiba ya kutembelea na kuwa ona Wanyama pori wetu ana kwa ana...
Rai yetu kama MJUMBE BLOG tujijengee Utamaduni huo.Wakutembelea hifadhi zetu ipo Elimu ya ziada na Fahari ya Akili tutaionja.
ONJENI MUONE.
ASANTE kwa Picha.
Picha Na Aloyce Mwambwiga.
Arusha,
Ngorongoro.
Post a Comment