Unapewga onyo kwanza ili aWearunapokuwa sehemu husika uchukue tahadhari.
Theluji ikiwa ime tapakaa kama inavyo onekana Waooh.Nikama imewekwa tu kwa ajili ya picha kumbe ni mwonekano halisi.
Picha nyingine ikionesha manshari zaidi
Mandhari zaidi yenye Theluji kumbe hata kwenye Theluji ukipita Unaacha nyayo kama kwenye Vumbi la kule Isansa,Mbozi eeh!
Taswira kwa ujumla wake ni vilima vya theluji tupu mithiri ya eneo lililo mwagwa chokaa
Mandhari yenye upekee pichani ni Mdau Richard Ngaya na rafiki yake ndani ya Maporomoko hayo.
Pichani ni Mdau wa MJUMBE BLOG Richard Ngaya akiwa katika Utalii wa Ndani nchini Marekani,Na hapo yupo katika kuvinjari eneo yaliko CASCADES,
Naam;
Unaposema Njombe na Iringa kuna baridi kali;Unalinganisha na wapi?
Pichani ni Mwonekano halisi wa theluji ikiwa inamimika kutoka juu ya kolongo na hata kutanda sehemu kubwa ya ardhi.
Una ambiwa hapa wapo kwenye nyuzi joto hasi kadhaa!
Akizungumzia Hali ya hewa ya eneo husika Mdau ambaye alikuwepo eneo la tukio kuvinjari ana sema;
"...Hapo ndo mtoko ulikamilika japo zip
nilifungua kwajili ya picha tuu. Hapo ilikuwa
inasomeka Negative 6. Wakati wa kutembea
mikono lazima iingie mifukoni. unaitoa wakati wa
kupiga picha tuuu...
Kwanza mikono ukiiweka kwenye
gloves, ikisharudi kwenye hali ya kawaida unakuta
imevimba kama mtu ambaye alikosa damu kwa
siku nzima...."
Kwa bongo leo kama Ukivaa hivi Una maanisha Mambo mawili ni Ama mfuasi wa Mwigulu Nchema,au Bishololo tyu! Na huo mtandio wako! Ukitoa Uzi wa Taifa alio tupia Mwana wa nchi huyu.
THELUJI kama hii inapatikana kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro pia!
Tofauti yake kubwa ni kwamba Mlima Kilimanjaro pamoja na kuwa ukanda wa Ikweta,mahali inapo aminika kuna Joto na jua muda mwingi Lakini Theluji yake ina aminika kuto yeyuka yote kwa masimu mzima wa mwaka.
MJUMBE BLOG
Tunashukuru kwa kututembelea.
Tofauti yake kubwa ni kwamba Mlima Kilimanjaro pamoja na kuwa ukanda wa Ikweta,mahali inapo aminika kuna Joto na jua muda mwingi Lakini Theluji yake ina aminika kuto yeyuka yote kwa masimu mzima wa mwaka.
MJUMBE BLOG
Tunashukuru kwa kututembelea.
Post a Comment