
Mnyama Nenox akishow Luv na wadau.

Mnyama Unyamani kama kawaida na Classic Beibiz wanahusika sana.
Ni ile Insta_Party tu.
Mzee wa NON STOP BATA!!
NENOX MNYAMA;Anatuwakilisha vema kabisa pande flani Jijini Dar!
Kwenye masuala ya Burudani na adventure za hapa na pale yuko vizuri na anajiwakirisha pia katika levo zake mwenyewe.
USHAURI:Piga kazi! Kisha ukizipata pia Zitendee haki.
Post a Comment