Unknown Unknown Author
Title: MJUE MTANZANIA ALIYESHINDA TUZO YA UBUNIFU;APEWA DOLA 38000!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Dr Askwar Hilonga kulia akipokea tuzo kama mbunifu wa mradi wa maji Royar academy engineering(taasisi ya Uhandisi ya Uingereza) Mbunifu k...

Dr Askwar Hilonga kulia akipokea tuzo kama mbunifu wa mradi wa maji Royar academy engineering(taasisi ya Uhandisi ya Uingereza)

Mbunifu kutoka Tanzania atapatiwa Dola 38000 kwa ajili ya mradi wake wa maji ambao una tumia mchanga na kano na kuyafanya maji yaweze kutumika.

Mbunifu huyo amesema fedha hizo zita msaidia kusaidia upatikanaji wa maji nchini Tanzania kwa asilimia 70.

Hisani ya Picha Salimu Kikeke

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top