image_0]
Wanachuo cha maendeleo na mifugo LITA madaba wame mwombea misa Takatifu CHESCO LUOGA;Aliye kuwa miongoni mwa walio fariki kwa kupigwa na radi mwaka jana.
Pamoja na misa Takatifu wanachuo hao kwa umoja wao walishirikiana na familia kumjengea nyumba yake ya milele aliye kuwa mwanafunzi mwenzao ambapo wali changia vigae vya kujengea(Malumalu).
Akizungumza kufuatia kitendo hicho mzazi wa Chesco Luoga(RIP),
Alisema; "..ame jisikia kufarajika mno hasa kutokana na jinsi uongozi wa chuo ulivyo onesha kuguswa na ajali hiyo na kuwa naye bega kwa bega katika kipindi chote kigumu ambacho ame pitia.
Pia ame washukuru wanachuo kwa ushirikiano walio uonesha kwa mwenzao na upendo wa pekee walio jitolea ili kumhifadhi mwenzao..."
.....tukio hilo limetokea Novemba 21 mwaka 2014 majira ya saa 1.30 usiku kwenye mgahawa unao hudumia wanafunzi wa chuo cha maendeleo na mifugo Lita Madaba ambao walikwenda kupata chakula cha jioni.
Katika tukio la ajali ya radi iliyo uwa watu sita na kujeruhi kadhaa akiwemo Chesco Luoga na Lukasi Mabula(24).
MWENYE ENZI MUNGU azilumzishe kwa amani Roho za marehemu;
Ameni.
Home
»
»Unlabelled
» KUMBUKUMBU:WANACHUO WA LITA WAMWOMBEA MISA TAKATIFU NA KUMJENGEA MWENZAO, ALIYE PIGWA NA RADI MWAKA JANA!
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment