
Mdau nime tumiwa mwaliko jana nkaona kama upo Mbeya na wewe leo tuungane!!
Soma zaidi:
"...Habari ya leo? Pole na majukumu Uyole cultural tourism enterprises inapenda kukualika siku ya kesho jumapili 05/07/2015 saa 8:30 mchana katika mapokezi ya kuwapokea waendesha baiskeli walioenda katika mashindano iringa na wiseman ilieendesha baiskeli hadi ikulu dsm.
Tutaanza safari yetu mafiati kisha kuelekea meta, stand kuu na baadae kurudi mafiati kisha moja kwa moja uyole ya kati ofisini kwetu. Ukiwa kama mdau unakaribishwa sana ili kunetwork na watu mbali mbali.
Kama utafika tufahamishe. Asante sana....."
MJUMBE BLOG Ime pokea mwaliko na tuna ahidi kuwepo eneo la tukio.
Post a Comment