habari ya leo? uyole cultural tourism enterprises tunapenda kukualika tar 11.7.2015 siku ya jumamosi sa kumi na mbili na nusu kutazama documentary mbili ya kwanza ni mbeya to dsm cycling tour na ya pili ni Nyakyusa traditional dance mahali ni ucte ground iliyopo uyole ya kati.
karibu unetwork na watu mbali mbali na uulize maswali kwa wahusika hakuna kiingilio. Unaombwa kuwahi kufika mapema. Tafadhari foward kwa mtu mwingine, Ukija njoo na mwenzio Asante


Post a Comment