UKWELI WA KAULI YA BABA WA TAIFA HUU HAPA!
MAKANUSHO NI MASHINIKIZO YA KISIASA TU, KATIKA HARAKATI ZA KUFICHA UKWELI AMBAO HAUWEZI KUFICHIKA.
=============
UTAFITI WA REDET JUNI 2015
=============
Lowassa 27%
Membe 8.2%
Pinda 7.2%
Magufuli 6.6%
Makongoro 4.3%
Mwandosya 3.1%
Sumaye1.4%
Mwakyembe1.4%
Ramadhani1.2%
Mwigulu 1%

WOSIA WA BABA WA TAIFA!
====================
"Sasa nasema, ni vizuri sasa wakasikiliza, wananchi wanasemaje. Msipuuze kabisa hiyo ..na hiyo nasema .nasisitiza ...msidhani ..msidhani.. Mnaweza mkapata ushindi mkipuuza maoni ya wananchi ..mkasema hili ni letu tu ..ni letu tu .. Mnatoka kwenye kikao cha Halmashauri kuu ...halafu wenyewe mnakendwa pale pale mnakwenda kwenye kikao cha wateuzi .. Wanateua mmoja ..mkiulizwa kwanini .mnasema aa! Si letu tu! Lenu? ..hamteui... hamteui katibu wa chama .. Mnateua mtu awe rais wa Jamhuri ya Muungno wa Tanzania ..kwahiyo ni vizuri msikilize Wananchi wanasema nini juu ya watu wenu hao..msipuuze maoni ya Wananchi hata kidogo ...chama kitakachopuuza maoni ya Wananchi .. Ee! Kinaweza kikalia kilio asipatikane mtu wa kusaidia kupangusa machozi ..naa.. Na.. Ninachosema kwaa.. Ninachowaambia CCM nawaambia vile vile na vyama vingine vile vile..lazima msikilize Wananchi wanasema nini . kwasababu kama wote ni sawa na Wananchi wanampenda mmoja katika hao kuliko wengine ..basi huyo ndiye anayefaa..kauli ya baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
MUNGU IBARIKI TANZANIA

Post a Comment