Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA PICHANI:HIVI NDIVYO HAONGA ALIFUNGA KAMPENI ZAKE KATIKA JIMBO LA MBOZI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni mkutano wa mwisho wa ndugu Pascal Haonga katika moja ya kijiji jimbo la Mbozi alio ufanya kufungia kampeni zake tarehe 24 ...


Pichani ni mkutano wa mwisho wa ndugu Pascal Haonga katika moja ya kijiji jimbo la Mbozi alio ufanya kufungia kampeni zake tarehe 24 Oktoba 2015
Aliye toa mkono pichani kwenye gari jeupe Pichani ni ndugu Pascal Haonga akiwasili katika  viwanja vya mkutano kuhitimisha  kampeni zake katika jimbo la Mbozi tarehe 24 Oktoba 2015
Aliye wahi kuwa kada wa CCM ndugu Mzee Twinzi akinadi sera zake Mbele ya Umti ulio jitokeza katika wa ndugu Pascal Haonga,kuhutumisha mkutano wake wa kampeni.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top