Unknown Unknown Author
Title: PITIA PICHA HIZI:UNGEKUA WEWE NDO MZAZI WA WATOTO HAWA UTAFANYAJE?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha ya kwanza unakuta Mwanao kanyofoa vibofyeo vyako vya Kopunta Mpakato yako kama hivyo Unarudi toka sokoni kununua mboga unapo enda ...

Picha ya kwanza unakuta Mwanao kanyofoa vibofyeo vyako vya Kopunta Mpakato yako kama hivyo

Unarudi toka sokoni kununua mboga unapo enda stoo kuchota unga unakutana na jamaa hawa



Umepigana kwa udi na uvumba ukajikuta una ambulia cheti chako,Unarudi toka kuhemea unakutana na cheti chako katika hali hiyo

Ungekua wewe kama mzazi utafanyaje?

Ukikutana na jamaa hawa sebuleni kwako wame zipamba fenicha zako hivi utafanyaje?

Hapo je? Kuna Tatizo kwani?

Mwingine huyu naye kafanya yake

Duh!
 
Fundi Jokofu yupo kazini hapo

Washa fanya yao hao


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top