Pichani ni ndugu Pascal Haonga ambaye ni mgombea ubunge jimbo la Mbozi akikabidhiwa zawadi ya ufimbo wenye kuashiria mamlaka na uongozi na Chifu Msangazila katika mkutano wa kampeni kijijini Hampangala
Sehemu ya wananchi walio jitokeza katika mkutano huo wa kampeni katika kijiji cha Hampangala
Baadhi ya picha katika kijiji cha Isowezya ndani ya Jimbo la Mbozi wananchi walio jitokeza kumsikiliza ndugu Pascal Haonga ambaye ni Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA akinadi sera zake
Ndugu Pascal Haonga akiwa katika kijiwe na vijana wa kitongoji cha Luonga walio mwomba awape mkono ili aendelee na safari
Ndugu
Pichani ni sehemu ya wananchi wa kijiji cha Iganya wakimsikiliza mgombea ubunge ndugu Pascal Haonga akinadi sera zake
TUTA ENDELEA KUWA LETEA PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI YANAYO TOKEA KWENYE KAMPENI NDANI YA JIMBO LA MBOZI....
Endelea kututembelea mara kwa mara mtandaoni kwa kuandika MJUMBE BLOG kisha ingia hao.

Post a Comment