AJALI JESHINI:DRONE YASHINDWA KURUKA,YAANGUKA NA KUJERUHI!!!
Wana maji wa wawili wa jeshi la marekani wamekumbwa na mkasa wa kujeruhiwa wakiwa mazoezini huko california,Marekani baada ya ndege isiyo na rubani kushindwa kurika na kuanguka.
KARIBU MJUMBE BLOG UWE WA KWANZA KUHABARIKA
Post a Comment