Dr SENGODO MVUNGI ICU!!!!!
Tarifa za hivi punde zilizo tufikia zimethibitisha kuwa hali ya Dr Sengodo Mvungi yazidi kudorola hivyo ame wekwa katika chumba cha Uangalizi Maalumu.MJUMBE BLOG ina waomba wadau na wa Tanzania wote Kumwombea na pia Inawapa pole familia nzima ya Dr Mvungi katika kipindi hiki kigumu.
Post a Comment