Unknown Unknown Author
Title: MAKUBWA HAYA!!!! Kumbe ni MADUNDA sio safu za Dr LIVINGSTONE??????
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Katika Elimu ya historia Tume kuwa tuki aminishwa kuwa kuna safu za milima ya Dr Livingstone...., Lakini leo mwana blog alipo kuwa katika sa...
Katika Elimu ya historia Tume kuwa tuki aminishwa kuwa kuna safu za milima ya Dr Livingstone...., Lakini leo mwana blog alipo kuwa katika safari zake za kikazi alipo fika Wilaya ya Ludewa,Kijiji cha Madunda wenyeji wake wame muhakikishia kwamba ile milima ilikuwepo enzi za wapangwa,wakisi,wamanda na hata Dr Livingston aliikuta pale.Zaidi ya yote wenyeji hao wali msisitiza Mwana MJUMBE BLOG Huyo aache kuwa potosha watoto wao anapo wapa maelekezo ya Historia kuwa Kuna Milima ya Dr Living stone Ukisi ama Madunda kwani atakuwa ana utukuza ukoloni na mawakala wake.Pale ni Mawengi Madunda wala sio kwa akina Dr Livingston.Teh!

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top