Unknown Unknown Author
Title: HALI NI TETE KLABU YA SIMBA,RAGE BENCHI!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kamati utendaji ya Simba leo ime msimamisha kazi mwenyekiti wake Ismail Aden Rage ikimshutumu kukosa uadilifu kukiuka maadili ya klabu. Had...
Kamati utendaji ya Simba leo ime msimamisha kazi mwenyekiti wake Ismail Aden Rage ikimshutumu kukosa uadilifu kukiuka maadili ya klabu.
Hadi sasa Rage hajapatikana kujibu shutuma dhidi yake;Ingawa hali klabuni hapo yadaiwa kuwa tete,Huku mashabiki na wadau wa michezo wakidai maelezo.
Na:Sr
Near Liganga

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top