Unknown Unknown Author
Title: MASHINE ZA KIELEKTRONIKI:SERIKARI IME KISIKIA KILIO CHA WAFANYA BIASHARA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kufuatia kilio cha wafanyabiashara nchi nzima kuhusu bei za mashine za kielektroniki za TRA,Ambapo wafanya biashara nchi nzima wakianzia na ...
Kufuatia kilio cha wafanyabiashara nchi nzima kuhusu bei za mashine za kielektroniki za TRA,Ambapo wafanya biashara nchi nzima wakianzia na Mgomo Mbeya,Morogoro hadi Dar es salaam waliyafunga maduka yao kwa Siku moja kila mkoa.
Serikari ime ahidi kufanya mazungumzo na watengenezaji wa mashine hizo ili kuona uwezekano wa kupungua kwa bei zinazo lalamikiwa na wafanya biashara.
Na:Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top