Unknown Unknown Author
Title: INDIA IMERUSHA CHOMBO MARS,MAREKANI NA URUSI VINARA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wakati Taifa la India likijivunia kukomaa katika masuala ya anga kwa kurusha chombo chake angani kinacho tegemewa kutua katika sayari ya Mar...
Wakati Taifa la India likijivunia kukomaa katika masuala ya anga kwa kurusha chombo chake angani kinacho tegemewa kutua katika sayari ya Mars Septemba mwakani,Mataifa mengine kama Urusi na Marekani yalisha tua huko.Hayo yata kuwa moja kati ya mafanikio makumbwa kwa taifa la India na Wa India kwa Ujumla.Haya Tusubiri ninani ata fuata??? Sisi au wao.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top