RAIS KULIHUTUBIA BUNGE LEO!
Mudau Usikae mbali na Luninga au redio yako ili uungane na Wabunge wako kumusikiliza Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamuhuri ya Muungano Akilihutubia Bunge letu Tukufu.KUMBUKA:Aliye sikia akikwambia,Kuna utamu kaongezea.
Post a Comment