LOWASA AITAHADHARISHA SERIKARI;VIJANA WATATUNG'OA MADARAKANI
Waziri mkuu wa zamani Edward Lowasa ametahadharisha kuwa kama tatizo la ajirakwa vijana halita patiwa ufumbuzi itakuwa chanzo cha serikari kupoteza madarakani.Alisema hayo alipo kuw akichangia mjadala wa mpango wa maendeleo wa Taifa wa mwaka 2014/2015 ulio wasirishwa na waziri wa nchi ofisi ya ris(mahusiano na uratibu) Stephen Wasira.Alinukuliwa akisema;"huwezi kuzungumuzia mipango bila kugusia kipengele cha Ajira,Serikari ina paswa kukiri kwamba kuna wa Tanzania walio maliza darasa la saba, kidato nne na cha sita walioko mtaani hawana ajira,Tusipo angalia watakuja kula sahani moja na sisi.Tusipo washughulikia."
Post a Comment