Madiwani sita wa CHADEMA wameshitakiwa TAKUKURU na meya kwa kupokea posho bila kusafiri.Madiwani hao ni Josephat Manyerere,Rose Brown,Glady Kiwia, na Lucky Kazungu.Madiwani hao wana tuhumiwa naa meya huyo kwamba kila mmoja alipokea posho ya hilingi 80000 kwa siku kumi kwa safari ya kwenda Mbeya lakini hawakwenda.
Habari za uhakika zilizo thibitishwa na maofisa wa TAKUKURU zime sema madiwani hao wame wasirishwa kwa jana.Kwa mjibu wa Meya wana stihili aadhabu kwa mjibu wa sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 329 ya mwaka 2002.
Meya huyo ame kuwa akijiita meya wa mahakama kwakuwa mahama ndiyo iliyo zuia kufukuzwa kwake na hivyo kumfanya agombee ambao alishinda kwa tiketi ya CCM baada ya kutimuliwa CHADEMA.
Asante:Fikira pevu
Home
»
»Unlabelled
» MALIPO YA POSHO HEWA:MADIWANI 6 CHADEMA KUBURUTWA TAKUKURU NA MEYA WA MAHAKAMA
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment