WA ETHIOPIA 22 WAKAMATWA KWENYE PAGALA MKOA WA DAR ES SALAAM
Raia 22 wa Ethiopia washikiriwa na idara ya uhamiaji mkoa wa Dar es salaam,akizungumuza na Tanzania daima kwake jana afisa uhamiaji mkoa Grace Hokororo alisema wa Ethiopia haowalikamatwa juzi usiku katika maeneo ya Kinondoni wakiwa katika pagala ambalo walikuwa wame jificha.
Post a Comment