Unknown Unknown Author
Title: MAREKANI:TANZANIA NI KITOVU CHA BIASHARA YA BINADAMU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Marekani imetoa ripoti inayo zungumuzia  usafirishaji wa binadamuuya mwaka 20113 huku ikitaja Tanzania kuwa kinara wa unyanyasaji kwa wasich...
Marekani imetoa ripoti inayo zungumuzia  usafirishaji wa binadamuuya mwaka 20113 huku ikitaja Tanzania kuwa kinara wa unyanyasaji kwa wasichana,kuwa tumikisha kaatika ngono na usafirishaji wa Binadamu.
Ripoti hiyo imetolewa na idara ya nchi hiyo inayo husika na masuala ya diplomasia.Pia inataja Tanzania kama kitovu cha kusafirisha wanawak,watoto,wanaume ambao hutumikishwa kwenye kazi za mashambani na biashara ya ngono.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top