MASHABIKI WALIO KOSA NIDHAMU WAIPONZA KLABU YA SIMBA
Kutokana na Mashabiki wa klabu ya Simba kufanya vurugu uwanja wa taifa kwenye mechi zidi ya Kagera Sugar,Klabu ya Simba imetakiwa kulipa shilingi millioni 28 kufidia hasara na uharibifu.
KARIBU MJUMBE BLOG UWE WA KWANZA KUHABARIKA
Post a Comment