KOMBE LA DUNIA KUZURU TANZANIA NOVEMBA 29
Novemba 29,kumbe la dunia linategemewa kuzuru nchini mwetu.Akielezea Umuhimu wa ujio wa kombe la dunia kuja nchini Moris Kiuka alisema 'ujio wa kombe la dunia ni hamasa kwa vijana wetu ili nao siku moja watamani kulitwaa na kulileta nchini badala ya Mtindo huu wa kusubiri kuletewa.
Post a Comment