Unknown Unknown Author
Title: MBEYA CITY YAPONZWA NA WAHUNI;SIMBA KUGHARAMIA UHARIBIFU WA VITI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wakati Klabu ya Mbeya city ikipigwa faini ya milioni kwa Mashabiki wake walio kosa nidhamu kufanya vurugu,na kuto cheza U20;Klabu ya simba i...
Wakati Klabu ya Mbeya city ikipigwa faini ya milioni kwa Mashabiki wake walio kosa nidhamu kufanya vurugu,na kuto cheza U20;Klabu ya simba ime pigwa faini ya 500000 kwa mashabiki kuvunja viti uwanja wa taifa.
Huku viwanja saba vilivyo tumika na timu za ligi kuu daraja la kwanza vikifungiwa kwa kukosa ubora.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top