Unknown Unknown Author
Title: MWILI WA DKT. SENGONDO MVUNGI;KUWSILI IJUMAA 15.2013
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wakati tiari jeshi la polisi limemkamata John Ikondia Mayunge akituhumiwa kushiriki kikamirifu kwenye mauaji ya mjube wa tume ya mabadiliko ...
Wakati tiari jeshi la polisi limemkamata John Ikondia Mayunge akituhumiwa kushiriki kikamirifu kwenye mauaji ya mjube wa tume ya mabadiliko ya katiba.Ratiba ya ujio wa mwili wa Nguli huyo wa Sheria inaonesha ata wasili nchini 15-Novemba-2013 ukitokea huko Afrika kusini aliko pelekwa wka ajili ya matibabu zaidi Kutokana na majeraha aliyo yapata baada ya kuvamiwa akiwa nyumbani kwake;ambapo mke wake alijeruhiwa pia na wauaji hao.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top