MIKWARUZANO EAC:RWANDA YAKATAA UENYEKITI!!
Raundi hii Uenyekiti wa EAC ulikuwa uende Kwa Rwanda,Paul Kagame ameonesha kutokubali,amesita! Hii ni kutokana na kuto elewana na Tanzania,Uhuru Kenyatta huenda akapewa mikoba,Mkutano Kampala wiki ijayo.
KARIBU MJUMBE BLOG UWE WA KWANZA KUHABARIKA
Post a Comment