Unknown Unknown Author
Title: TANESCO YANOGEWA;YAOMBA KUONGEZA BEI KIDOGO TENA!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Shirika la umeme TANESCO lime omba kuongeza bei kwa asilimia 67.87 ikiwa ni kutoka Sh.197.8 kwa unit mpaka Sh.332.06. Hayo yame bainishwa j...
Shirika la umeme TANESCO lime omba kuongeza bei kwa asilimia 67.87 ikiwa ni kutoka Sh.197.8 kwa unit mpaka Sh.332.06.
Hayo yame bainishwa jana na kaimu mkurugenzi wa TANESCO Chesmi Mramba alipo kuwa akiwakirisha ombi hilo mbele ya wadau wa umeme na Mamlaka ya Udhibiti wa nishati na NISHATI NA Maji(EWURA).
Alisema kwasasa Uzaalishaji umeme utokanao na nguvu za maji ni asilimia 13,Utokanao na gesi ni asilimia 42,Utokanao na mitambo ya mafuta ni asilimia 45
 "kutokana kuongezeka kwa gharama za uzarishaji,wastani wa bei ilyopo ya Sh.197.8 kwa unit hailingani na wastani wa Sh.332.06 inayo takiwa kukidhi mahitaji kwa sasa.Hii ni pungufu kwa kiasi cha Sh.134.25 kwa unit Ongezeko la bei la Asilimia 67.87 litafidia upungufu huo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top