Serikari ya Rwanda,Uganda,Kenya na Katibu wa jumuiya ya Afrika Mashariki,Zime funguliwa mashitaka zikidaiwa kukiuka mkataba wa jumuiya hiyo.
Hatua hiyo inafiatia serikari za nchi hizo kufanya vikao vitatu na kuzitenga Tanzania na Burundi.Walalamikaji katika kesi hiyo ni Ally Msangi,David M,John Adam, ambao ni wa Tanzania wanao tetewa na wakili wao mwandamizi Jimm Obed wa jijini Dr es Salaam.
Pamoja na Mambo mengine walalamikaji wame waomba majaji katuka mahakama hiyo kutoa tamko la kustisha utekelezwaji wa maazimio ya vikao vya wakuu wa nchi hizo tatu.
Home
»
»Unlabelled
» MKATABA WA AFRIKA MASHARIKI:RWANDA,UGANDA,KENYA NA KATIBU WA JUMIYA YA AFRIKA MASHARIKI KIZIMBANI
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment