Unknown Unknown Author
Title: GAUDENSIA KABAKA:UKOSEFU WA MITAJI NA ELIMU KIKWAZO CHA AJIRA KWA VIJANA WENGI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri Gaudensia Kabaka,ame nukuliwa akisema kuwa ukosefu wa mitaji na Elimu ni kikwazo kikubwa cha vijana wengi kujiajiri kwenye kilimo nch...
Waziri Gaudensia Kabaka,ame nukuliwa akisema kuwa ukosefu wa mitaji na Elimu ni kikwazo kikubwa cha vijana wengi kujiajiri kwenye kilimo nchini.Takribani asilimia 13 ya vijana nchini hawana Ajira.
Pamoja na tahadhari mbali mbali zina zo tolewa na viongozi wa kiserikari akiwemo aliye kuwa waziri mkuu Bwana Edward Ngoyayi Lowasa,Ambaye ame nukuliwa mara kadhaa aki itahadharisha serikari ifanye jitihada za kuhakikisha vijana wana andaliwa madhingira mazuri ya kupata ajira na hata kusema idadi ya vijana wasio kuwa na ajira inavyo ongezeka siku moja tutakuja kula sahani moja nao kama tusipo litazama ntatizo la ajira!
Na:Mjumbe(sr)
Amani Ville
Liganga

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top