Hospitali ya Taifa ya Muhimbili haina huduma ya maji kwa wiki moja sasa jambo linalo walazimisha ndugu na jamaa wa wagonjwa kuingia wodini na maji.
Tatizo hilo limekuja baada mamlaka ya maji jijini Dar es salaam(DAWASCO) kukatisha huduma hizo ili kuruhusu uunganishwaji wa mtambo mpya katika hosipitali hiyo.
chanzo:Mwananchi
MUHIMBILI WAKOSA MAJI KWA WIKI MOJA
Title: MUHIMBILI WAKOSA MAJI KWA WIKI MOJA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili haina huduma ya maji kwa wiki moja sasa jambo linalo walazimisha ndugu na jamaa wa wagonjwa kuingia wodini n...
Post a Comment