Wiki lililo pita tuliona jinsi Raju Rastog alivyo Kataa Majibu ya kupewa......! Naam; Mitihani ilifanywa na matokeo yalitoka kama ilivyo dhaniwa.Matokeo ya Raju Rastog haya kuwa mazuri sana!
Raju, akiwa mwenye kujiamini na kusema kweli kwa kila swali alilo Ulizwa na wale wanao msaili! Kuna mtego mmoja tu alio pewa,Aka ambiwa "Unaongea ukweli sana na Umekuwa muwazi Mno sisi katika kampuni letu Tuna hitaji mtu anaye weza kupunguza hayo! Kama upo tiari Kupunguza kusema ukweli daima Mkataba huu hapa(Akimsogezea faili)....., " Raju ali lifunga lile faili lao na kuwa jibu kwa ujasiri kuwa "IME NI GHARIMU KUVUNJA MIGUU MIWILI,ILI KUWA NA MTAZAMO HUU.... NYIE BAKINI NA KAZI YENU,MIMI NITA BAKI NA MSIMAMO WANGU...." Ali geuza ile baiskeli yake;na kuanza kutoka nje! Walio kuwa wana msaili waka shangaa,Waka mwambia Tume saili vijana wengi sana hapa lakini WANAPO AHIDIWA AJIRA ILI WABADILI MITAZAMO YAO SAHIHI,HUWA TIARI.... Nafasi hii inakufaa wewe!
FUNZO:Inatupasa kuwa wenye misimamo katika yale tunayo ya amini bila kujali tuta poteza nini!
Pia ni wazi kwamba vijana walio wengi wame nunurika kirahisi na kuwa badili mitazamo yao kwa Masrahi ya kikundi flani kinacho endeleza UFISADI katika jamii.
RAI YANGU:Tafuta Tamthilia hii ya 3iodiot ya Ucheshi uitazame Utaifrahia sana.
REJEA YETU LEO:JE,NIKIFELI MTIHANI NITA PATA AJIRA?
Title: REJEA YETU LEO:JE,NIKIFELI MTIHANI NITA PATA AJIRA?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wiki lililo pita tuliona jinsi Raju Rastog alivyo Kataa Majibu ya kupewa......! Naam; Mitihani ilifanywa na matokeo yalitoka kama ilivyo dha...
Post a Comment