Wakati vijana Tuna amini katika kauli mbiu isemayo for ever young,Tiari kuna watu wana jisemea moyoni mwao kuwa Laiti kama ninge kuwa kijana(Only if i were young)...,
Katika maana;Wakati vijana tunatamani tunge bakia vijana milele,Tiari kuna wazee wanao Tamani wange rudia ujana ili wafanye masahihisho maisha yao! Kuna fursa wanaziona hawakuzi tumia walipo kuwa vijana na zina wagharimu sasa.Hawa utasikia wakisema "mimi ninge kuwa kijana ninge..., Utadhani hawajawahi kuwa Vijana!".
Mwaka 2010 Uganda ilipata kuwa na Millionea kijana kabisa aliye kuwa na umri wa miaka 28,huyu aliongozana na wana anga wengine kuelekea kutalii katika anga zingine huko...
Kabla haja anza safari kuna mwandishi alimuhoji kuwa 'Hivi ni kitu gani ambacho ni gharama zaidi kwako? akawajibu Kitu ghali zaidi duniani ni Fursa iliyo potea..... Ita endelea
NINA MSHUKURU MUNGU:NIME TIMIZA MIAKA KADHAA;JANA!!!
Title: NINA MSHUKURU MUNGU:NIME TIMIZA MIAKA KADHAA;JANA!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wakati vijana Tuna amini katika kauli mbiu isemayo for ever young,Tiari kuna watu wana jisemea moyoni mwao kuwa Laiti kama ninge kuwa kijana...
Post a Comment