Unknown Unknown Author
Title: CHADEMA VIPANDE VIPANDE! NDANI YA MASAA 12 WAWILI WANG'ATUKA!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya Said Arfi;Aliyekuwa makamu mwenyekiti Bara kujiuzuru Cheo chake,ambaye ndiye Mbunge wa Mpanda mjini kwa tiketi ya Chama hicho.Amefi...
Baada ya Said Arfi;Aliyekuwa makamu mwenyekiti Bara kujiuzuru Cheo chake,ambaye ndiye Mbunge wa Mpanda mjini kwa tiketi ya Chama hicho.Amefikia uamuzi huo baada ya kamati kuu CHADEMA kuwa vua uongozi Mheshimiwa Zitto Kabwe na Dr Kitila Mkumbo na nafasi zao hizo kupewa wengine akiwemo mchungaji Peter Msigwa!
Mjumbe wa tume ya katiba Prof:Baregu naye afuata nyayo za mwenzake,Taarifa zilizo tufikia zina eleza kuwa ametoa kauli ya kujiondoa na kujiuzuru vyeo vyake vyote ndani ya Chama kutokana na Maamuzi yaliyo fanywa na chama hicho.Huyu ni mjumbe wa pili wa kamati kuu ya CHADEMA kuamua kujiuzuruwadhifa wake ndani ya masaa kipindi kisicho zidi masaa 12!

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top