Unknown Unknown Author
Title: RATIBA YA SHUGHULI YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU DKT SENGONDO MVUNGI LEO 16 NOVEMBA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Saa 2:00 - 3:30 Asubuhi viwanja vya karimjee Saa 3:30-Kuwasili wana nchi waombolezaji Saa 4:00 Kuwasili mwili wa Marehemu Saa 5:45-6:55 I...
Saa 2:00 - 3:30 Asubuhi viwanja vya karimjee
Saa 3:30-Kuwasili wana nchi waombolezaji
Saa 4:00 Kuwasili mwili wa Marehemu
Saa 5:45-6:55 Ibada ya misa takatifu
Saa 6:55-8:40 Mchana salaam za rambi rambi
Saa 9:00 alasiri kuaga Mwili wa Marehemu;Msafara kuelekea Kibamba
Kesho kutwa Novemba 17 Nyumbani kwa marehemu
Saa 2:30 ibada ya misa nyumbani kwa marehemu
Saa 5:00 Kuanza safari ya Kwenda Kisangara juu Mwanga Kirimanjaro.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top