Unknown Unknown Author
Title: JESHI LA POLISI TANZANIA LA ONGOZA KWA RUSHWA;AFRIKA MASHARIKI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kutokana na Tafiti zilizo fanywa hivi karibuni na Shirika la Transparency Internation(TI) Likishirikiana na NGOs zina onesha kuwa jeshi la p...
Kutokana na Tafiti zilizo fanywa hivi karibuni na Shirika la Transparency Internation(TI) Likishirikiana na NGOs zina onesha kuwa jeshi la polisi Tz ndilo king'ara wa Rushwa katika nchi za Afrika mashariki kwa asilimia 72.9,likifuatiwa na Kenya asilimia 70.7;Burundi asilimia 64,Uganda asilimia 60 na Rwanda asilimia 54.Takwimu hizi ni kutokana na tafiti zilizo fanywa hivi karibuni.
Chanzo:Citizen

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top