REJEA YETU LEO:Je,NIKIFELI MTIHANI NITA PATA AJIRA?
Je,mtu akifeli ana weza akapata Ajira? Raju Rastog alimwuliza mwalimu wake bwana Virus! Katika tamthiliya maarufu sana iliyo tamba kwa jina la 3idiots,Kuna kipande kina onesha marafiki wa Raju waki mwibia Mtihani ili asifeli.Lakini walipo fika chumbani kwao na kumpa Raju Karatasi ile ya majibu akaikunja ile karatasi na kuitupa sakafuni.Akasema:Tazama marafiki hawa,Kwanza wana kufundisha kusimama pekee yako kwa kuifuata njia sahihi! kisha wana kusaidia kutoroka kwa kupitia njia ya aibu,Funzo gani tunapata hapo? Raju ali Amini na Kuelewa kuwa Kufeli mtihani wa siku moja kamwe haku wezi kuondoa ufahamu wako ulio upata unapo kuwa shuleni kwa zaidi ya miaka mi nne.Funzo la Pili;Suala la kukubali kushiriki katika ulaghai humuvua mtu heshima yake na Kujidharirisha ndani ya jamii hisika daima kwani Matokeo na athari za Ulaghai huirudia jamii yake siku chache tu za usoni.Jamani.Je,Raju Rastog Alipataje Ajira????? Itaendelea.....
Post a Comment