Unknown Unknown Author
Title: SAMMARI:KAULI TANO ALIZO TOA ZITTO KABWE;AKIJIBU TUHUMA ZIDI YAKE NA KUTOA MSIMAMO WAKE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
"....Tuhuma zidi yangu ni maneno yasiyo na ushahidi,nimewataka wathibitishe uthibitisho wao ni kunuvua nyadhifa za uongozi...." ...
"....Tuhuma zidi yangu ni maneno yasiyo na ushahidi,nimewataka wathibitishe uthibitisho wao ni kunuvua nyadhifa za uongozi...."

"....Ukuaji wa CHADEMA ni wa kasi zaidi kuliko ukaji wa Demokrasia ndani ya Chama..."

".....Nita simamia katiba ya CHADEMA na Kupinga maonevu ndani ya Chama...."

".....Nina ipenda nchi yangu kuliko CHADEMA......"

"....Sitoki CHADEMA nasubiri wanitoe au Watoke wao...."
Nyongeza:Nili jiunga CHADEMA nikiwa na miaka 16 na sasa nina miaka 37 na nina tamani siku moja Mwangu aje awe mwana CHADEMA....."
Na:Mjumbe sr
Amani ville

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top