Unknown Unknown Author
Title: JAKAYA KIKWETE:WA TANZANIA TETEENI NCHI SIO KUPONDA TU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Akizungumza na Wa Tanzania waishio Poland aliwataka watetee nchi badala ya kuiponda kwenye ma blogs. Alisema "Wajibu mkuu wa Tanzania ...
Akizungumza na Wa Tanzania waishio Poland aliwataka watetee nchi badala ya kuiponda kwenye ma blogs.
Alisema "Wajibu mkuu wa Tanzania wanao ishi nje ya nchi ni kuisemea nchi vizuri,Kuihangaikia,na kuitetea nchi badala ya  kushinda wakiiponda,uibeza na kulalamika..."
Na:Mjumbe
Amani ville

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top