Unknown Unknown Author
Title: SIKU YA UKIMWI DUNIANI LEO......
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
12/NOVEMBA KILA MWAKA Kunafanyika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Leo Wilaya ya Mbozi Maadhimisho Kiwilaya yatakuwa Kata ya Ichesa....
12/NOVEMBA KILA MWAKA
Kunafanyika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani
Leo Wilaya ya Mbozi Maadhimisho Kiwilaya yatakuwa
Kata ya Ichesa.
Mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Wilaya
Ndugu Michael Kadeghe
Twendeni Tuka kumbushane.

Laiti Mabango yasinge kuwa Nyuma  Madereva Nao wange yasoma! Tofauti na Ilivyo sasa Tuna Yasoma Sisi Wapita Njia.
Asante Picha Mjumbe;Kijiji cha Amani,Ludewa
Mjumbe sr
Mlowo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top