SOMALIA:30000 WAHITAJI CHAKULA,DAWA,MAKAZI
Serikari ya Puntland ime omba msaada wa kimataifa kufuatia mafuriko yaliyo ua watu 300.Taarifa kutoka UN zimethibitisha kuwa watu 30000 wanahitaji msaada wa chakula,dawa na Makazi.
KARIBU MJUMBE BLOG UWE WA KWANZA KUHABARIKA
Post a Comment