WAFANYA BIASHARA MOROGORO WAGOMEI BEI KUBWA YA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI ZA TRA
Lile seke seke la wafanya biashara kuto ridhia na kiwango cha beiza mashine za kielekitroniki jana lime ibikia mkoa wa morogoro tena baaada ya wafanyabiashara hao kufanya maandamano hadi ofisi za RC wakidai haziendani na mitaji yao.
Post a Comment