Unknown Unknown Author
Title: TANZANITE YARUDI NA USHINDI MNONO WA 5-1 ZIDI YA WA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Tanzanite chini ya mwalimu wao Rogasiani Kaijage na Msafara mzima una ongozwa na mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikisho la mpira wa migu...
Tanzanite chini ya mwalimu wao Rogasiani Kaijage na Msafara mzima una ongozwa na mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikisho la mpira wa miguu Tanzania(TFF) Kidao Wilfred.Wana rudi nchini wakiwa kifua mbele leo kuwachakaza washindani wao Magoli 5 kwa 1 huku wakijikatia tiketi ya kufuzu kucheza raundi ya pili ya michuano ya kombe la dunia.
Hat trick za Sherida Boniface zaipa magoli matatu Tanzanite.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top