Leo alasili mabingwa watetezi wa legue ya Vodacom;Young African Sc wamethibitisha kuusajili mlinda mlango Juma Kaseja.
Kwa mjibu wa mkataba alio saini Kasej atatumikia YANGA miaka miwili.YANGA wamesema wame msajili kaseja ili kuimarisha kikosi chao katika mechi za kimataifa.
KASEJA;MIAKA MIWILI YANGA
Title: KASEJA;MIAKA MIWILI YANGA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Leo alasili mabingwa watetezi wa legue ya Vodacom;Young African Sc wamethibitisha kuusajili mlinda mlango Juma Kaseja. Kwa mjibu wa mkataba...
Post a Comment