VITA NCHINI SYRIA VYAATHIRI WATOTO
Taarifa ya umoja wa mataifa imeonya kuwa vita nchini syria imeharibu watoto kimwili na kisaikologia.Wakimbizi watoto walio katika umri wa kwenda shule ambao wamekimbilia katika nchi jirani wameendelea kukosa elimu na wamelazimika kufanya kazi za kujikimu na hali ngumu za kimaisha. Na mjumbe junior
Post a Comment