Unknown Unknown Author
Title: RAGE AKOMAA NAO "Kikao kilicho mtoa ni sawa na Kikao cha Harusi tu"
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
SIMBA:Rage akaidi agizo la TFF kuitisha mkutano mkuu ndani ya siku 14,asema yeye ndio Bosi! amteua Michael Wambura Mjumbe wa kamati tendaji ...
SIMBA:Rage akaidi agizo la TFF kuitisha mkutano mkuu ndani ya siku 14,asema yeye ndio Bosi! amteua Michael Wambura Mjumbe wa kamati tendaji Simba.
"Watu walio nisimamisha wanasema ni maamuzi ya kamati ya utendaji;hii sio kweli hakikuwa kikao cha kamati ya utendaji;bali ni kikao cha kwaida tu kama kikao cha Harusi." -Alisema Mh.Ismail Aden Rage

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top