Unknown Unknown Author
Title: ERNEST MANGU MKUU MPYA WA JESHI LA POLISI TANZANIA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
                                 KAMISHINA ERNEST MANGU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tamzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,Leo Jum...
                                 KAMISHINA ERNEST MANGU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tamzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,Leo Jumatatu ya Desemba 30 amemteua kamishina wa jeshi la Polisi Ernest Mangu kuwa mkuu wajeshi la Polisi nchini.
Taarifa iliyo Tolewa Usiku waleo na katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sifue inasema kuwa Kamishina Mangu anachukua nafasi ya mkuu wa jeshi la polisi anaye staafu,Said Mwema.

Chanzo:Kurugenzi ya Mawasiriano,Ikulu

Mjumbe sr
Mbeya

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top