Unknown Unknown Author
Title: HAKIKA NAWA AMBIENI KUNA TOFAUTI KUBWA KATI YA KIAZI NA TAMBAZI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kwa wale walio wahi kuchimba viazi masalia vilivyo baki wakati wa msimu wa kuchimba! Mvua ikisha nyesha kuna viazi huanza kujitokeza.......


Kwa wale walio wahi kuchimba viazi masalia vilivyo baki wakati wa msimu wa kuchimba! Mvua ikisha nyesha kuna viazi huanza kujitokeza....
Nahapo usipo kuwa makini Unaweza ukawa Una Chimba Tambazi Ukazani ni Kiazi! Lakini kwa Wataalam Ukisha ya tazama majani tuu una jua Kiazi ni kipi na Tambazi ni lipi!


Na Leo Tulejee Maneno hayo!
Mjumbe
Mbeya

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top