Unknown Unknown Author
Title: WANA MBOZI:LEO NDIO SIKU ILE YA KWENDA MBOZI MISION KUWAONA WATOTO YATIMA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
   Taswira ya Maeneo ilipo Mbozi mision Kutokea Magharibi Ndugu zangu wapendwa;Nimatumaini yangu mtakuwa wenye Afya tele! Nina penda ku...
   Taswira ya Maeneo ilipo Mbozi mision Kutokea Magharibi

Ndugu zangu wapendwa;Nimatumaini yangu mtakuwa wenye Afya tele!
Nina penda kuchukua fursa hii kuwa taarifu kuwa Wana mbozi kupitia ndg Silla Yalonde Wumbura Mwashiozya wali kubaliana kutakuwepo siku moja kwa mwaka 2013 ambayo itatumika kwenda kuwa Tazama watoto yatima wanao lelewa pale Mbozi mission!
Kama Ulikuwa una tufuatilia vema tangu awali Hapo nyuma Tiari Tulikuwa Tumesha weka Tangazo la Siku na Tarehe na Mahali pa kukutana ili Safari ianze,Hili Lili wekwa kwenye Ukurasa wetu wa Face Book na Humu ndani pia.Niwakumbushe na kuwa sihi kuwa Leo ndio ile siku ya kwenda kuwa ona watoto yatima ime wadia... Safari ya pamoja itaanzia pale Vwawa! Pata kuwepo usafiri wa kutosha na zaidi ya yote wote mme ombwa kuwepo bila kujali una mchango ama huna mchango kwani uwepo wako ni mchango Tosha.
Nirudie kuwa kumbusha tena Kuwa Safari ita anzia pale Vwawa;Kwenye Hotel ya Chaampion ndio makutano yatakapo kuwa na kwa wageni Mawasiriano yame tolewa Ili kurahisisha zoezi hili.

    Taswira ya kufikia Lango kuu la Hospitali ya Mbozi Mision Walipo hifadhiwa ya Tima

Picha na Matukio zaidi vitakujia Tukifika Eneo la Tukio.

KUMBUKA:UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU
#Zaidi ya yote Kutoa ni Moyo si Utajiri.

Elasto Mbella
Mbeya
0752025005

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top